HIZI HAPA NGOMA TANO BORA ZA BARRACK OBAMA KUTOKA AFRIKA MWAKA 2023

 

Barack Obama
Rais wa zamani wa Marekani, Barack Obama ameachia orodha ya nyimbo zake pendwa mwaka huu. Huku nyimbo tano za wasanii wa Afrika zikijumuishwa.

Tangu alipokuwa Ikulu, Barrack Obama amekuwa na desturi ya kuachia orodha yake ya kila mwaka na tunaweza kusema, mapendekezo yake yamekuwa ya kuaminika kuanzia muziki, filamu pamoja na vitabu.

Five African songs made it to Barack Obama’s Favorite music of 2023:

1. Unavailable - Davido ft. Musa Keys
2. Sittin’ On Top Of The World - Burna Boy ft. 21 Savage
3. Water - Tyla
4. Amapiano - Asake & Olamide
5. Me & U - Tems

Post a Comment

Previous Post Next Post