LIL UZI VERT KUFUTA TATTOO ZOTE

 

Burak Cingi/Redferns/Getty Lil Uzi Vert


 Kwenye mahojiano na Jarida la LA Weekly, Rapa Lil Uzi Vert amesema havutiwi na Tattoo yoyote mwilini mwake, ameweka wazi kuwa anataka kuzifuta zote kwani anataka kuingia kwenye ulimwengu wa ushirika yaani ‘Corporate’

Lil Uzi Vert aliwahi kushika headlines za dunia kwa kubandika kito cha Almasi kwenye paji la uso chenye thamani ya (24 million) zaidi ya TSh. Bilioni 60. Baadaye alikiondoa kito hicho na kuchora Tattoo kuficha kovu. Aidha rapa huyo ana Tattoo zaidi ya 54 mwilini mwake.

Post a Comment

Previous Post Next Post