Injinia Hersi atasaidiwa na Jessica Motaung wa Kaizer Chiefs kama makamu Mwenyekiti huku Paul Basset wa Akwa United ya Nigeria akichaguliwa kuwa makamu Mwenyekiti wa pili.

Uzinduzi huo uliofanyika Nchini Misri umesimamiwa na Rais wa CAF, Patrice Motsepe nchini Misri huku Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi wa Simba SC, Salim Try Again akiwa miongoni mwa waliohudhuria