HAWA HAPA RAPA WATANO WAKALI WA FID Q

 Star wa muziki wa HipHop Fid Q ametaja Top 5 ya rapa wake bora wa kizazi kipya Tanzania akianza na Dizasta Vina, Young Lunya, Salmin Swaggz, Mex Cortez na Fresh likeuuh

Picha ya Fid Q

Zaidi tazama hapa chini kwenye video Fid Q akitaja rapa zake hao bora kupitia Planet Bongo ya East Africa Radio.

Post a Comment

Previous Post Next Post