MAMMELODI YAFANYA MABADILIKO KWENYW BENCHI LAKE LA UFUNDI

Manqthi Manqoba aliyebadilishiwa na kuwa kocha msaidizi


Club ya Mammelodi Sundown yenye Maskani yake Durban,South Afrika jmetangaza kufanya mabadiliko katika benchi lake la ufundi kwa kuwabadiliahia majukumu makocha wanaloliongoza benchi la ufundi la Club hiyo.

Kocha Manqthi Maqoba ambaye alikuwa kocha Mkuu atakuwa Kocha Msaidizi,Steve Komphela atakuwa kocha wa timu ya Vijana na Rulani Makoena atakuwa Kocha Mkuu wa Club hiyo.
Steve Komphela

Sababu kubwa ya kufanya mabadiliko hayo ni kutokana na mfululizo wa matokeo mabaya waliyo yapata Mammelodi Sundowns katika ligi na katika michuano ya ndani.
Rulani Makoena

Mwishoni wa wiki iliyopita Club hiyo iliondolewa katika nusu fainali michuano ya Super Cup kwa kufungwa magoli 3-0 na Orlando Pirates.

Post a Comment

Previous Post Next Post