UNAI EMERY AMERUDI UINGEREZA KUIFUNDISHA ASTON VILLA



Club ya Aston Villa imemtangaza Unai Emery kuwa kocha Mkuu wa Club hiyo baada ya kuachana na aliyekuwa kocha wao Steven Gerrard.

Unai anajiunga na Villa akitokea Villareal ya Hispania aliyeiongoza kushinda taji la Europa League.



Ataanza kazi ya kuinoa Club hiyo tarehe 1 Novemba baada ya kukamilisha ruhusa ya kufanya kazi ndani ya taifa la Uingereza.

Post a Comment

Previous Post Next Post