E BAY WAZUIA BIDHAA ZAKE KUUZWA KATIKA MTANDAO WAO

Soko la kuuza na kununua bidhaa mtandaoni E-Bay limepiga marafuku watumiaji wa mtandao huo wa kununua na kuuza vitu kuuza au kununua mavazi ya Jeffrey Dahmer katika mtandao huo baada ya Muigizaji huyo kuachia filamu yake katika mtandao wa Netfkix yenye maudhui ya kusapoti uvunjwaji wa sheria na mauaji.

Msemaji wa mtandao huo amesema "Bidhaa zake tumezipiga marufuku kwenye mtandao wetu na tumeziondoa kabisa"


E bay inaendeleza sera yake kuondoa bidhaa za watumiaji wao wenye kuvunja sheria za mtandao huo.

Miongoni mwa bidhaa za Jeffrey zilizoondolewa ni Dahmer Mask na Halloween Costume.

Post a Comment

Previous Post Next Post