AKATAA KUVAA KITAMBA CHA RAINBOW



Nahodha wa Club a Feyernood Orkun Kokcu amekataa kuvaa kitambaa cha unagodha chenye rangi ya rainbow.

Kokcu amesema"nimeamua kuto kutokuvaa kitambaa cha mshale wa mvua kwa sababu sidhani kama kina umuhimu wa kushawishi na kusapoti wanacho kitaka nina heshimu kila mtu bila kujali dini,rangi na jinsia.

"Nina imani pia kila mmoja ana uhuru wa kufanya chochote kwa wakati wowote nina elewa vizuri kuhusu umuhimu wa hili jambo lakini kutokana na imani ya dini yangu sidhani kama ninapaswa kufanya ivo ndio maan sijioni huru nikifanya hivyo.

Post a Comment

Previous Post Next Post