KIAMA KWA WAFANYA KAZI WA TWITTER

                                                


Mmiliki mpya wa mtandao wa Twitter Bilionea Elon Musk anataarajia kuanzisha sheria mpya itakayo tumika na wafanyazi pamoja na watumiaji wa mtandao huo.


Kwa watumiaji wa matandao huo watapaswa kulipia tweets zao wanazo zi-upload katika mtandao huo

Kwa wafanyakazi wa mtandao huo kuanzi CEO na wafanyakazi wengine wanaolipwa mishahara mikubwa watakatwa mishahara hiyo na kulipwa kiasi ambacho mmliki huyo mpya anakihitaji.

Muska aliinunu Twitter kutoka Jack Dorsey kwa dola za kimarekani bilioni 44 na kuahidi kuifanya sehemu ya uhuru kwa watu kujieleza.

Post a Comment

Previous Post Next Post