Tuzo za Oscar zimefanyika na kila mmoja alijipatia kile anacho stahili tukio pekee lililo bakia kuwa historia ni kofi alilopigwa Chris Mchekeshaji Rock na Will Smith baada ya Chris Rock kumtania mke wa Will Smith Jada Pinkety kuhusiana na tatizo la nywele alilokuwa nalo tukio lingine kubwa lilikuwa ni ushindi wa Ariana DeBose kuwa mwanamke wa kwanza mweusi kushinda tuzo hiyo katika kipengele cha Besg Supporting Role katika movie ya 'WestSide Story' aliyoingiza kama Anita.
Baadhi a wanawake waliowahi kushinda katika kategori hizo miaka ha nyuma alikuwa ni Regina King katika movie ya Green Book.
Bellie Eillish aliendelea kuzikusanya tuzo zake baada ya kushinda tuzo ya best soundtrack au original song ngoma yake ya No Time To Die pia Billie aliperform katika tuzo hizo.
Beilie anaungana na wasanii kama SZA,Kendrick Lamar na Lady Gaga kushinda tuzo za filamu za Oscar katika kategori ya best soundtrack.
Julia Fox katika suala la mtindo huwa hakoseagi kila siku anajitahidi kuja na kitu cha tofaufi katika zulia jekundu katika matukio tofauti na katika tukio la utoaji wa tuzo hizo Julia Fox alitokea akiwa amavaa vazi liliundwa kwa nywele za binadamu.