Mshindi wa tuzo ya Oscar Muiguzaji William Hurt aliyejizolea umaarufu mkubwa kwenye Movie ya KISS OF SPIDER WOMAN na BROADCASTING NEWS amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 71 familia yake ilitoa taarifa hiyo siku ya Jumapili usiku.
Hurt alionekana pia katika movie kadhaa za Marvel wakati ameingia mkataba wa kufanya kazi na kampuni hiyo mkataba uliyo mpa nafasi ya kuonekana kwenye movie ya KISS OF SPIDER WOMAN.
Mwaka 2018 familia ya Hurt ilitoa taarifa ya kuumwa kwa kansa ya korodani kwa Hurt ugonjwa ambao uliosambaa mpaka kwenye mifupa.
Katika miaka ya 1980 Hurt aliteuliwa kuwania tuzo katika kategori tatu za tuzo sa Oscar na akafanikiwa kushinda kategori ya muigizaji bora wa kiume baada ya movie ya kiss of spider woman kufanya vizuri na yeye akiwa miongoni mwa waigizaji walioifanya movie hiyo kupendwa sana.
Hurt ameacha watoto wanne na amefariki akiwa na umri wa miaka 71.
Tags
MOVIES