CHAMA CHA SOKA SENEGAL WANATAKA MASHABIKI

Rais wa chama cha soka cha pale Senegal Leopold Senghor ametuma barua ya maombi kule FIFA na CAF kuwaomba ruhusa ya kuruhusu mashabiki waweze kuruhusiwa kwenye mchezo wa kufuzu kombe la dunia dhidi ya Misri.

Misri wao wameruhiswa mashabiki hivyo katika mchezo wa marudiano utakaopigwa kule Cairo.

Post a Comment

Previous Post Next Post