Mchezaji aliyefunga magoli mengi katika klabu na timu ya taifa magoli 807 akimpiku Josef Bican.
Hat trick 59 kwa klabu na timu ya taifa.
Mchezaji aliyewafunga Spurs magoli mengi msimu huu magoli manne.
Kwa mujibu wa FIFA huyu ndiye mfungaji wa muda wote hivi sasa.
Tuzo za Ballon D'or zinampa power ranking ya kuwa nafasi za juu kwa sababu ya rekodi anazo vunja.
Tags
michezo