WAKAZI AWACHANA COMEDIAN WA TZ

 Msanii wa HipHop Wakazi ameibuka na wachekeshaji wa Bongo baada ya kuwaambia hawajui kuchekesha kupitia mtandao wake wa X.

Picha ya Wakazi

Wakazi ameandika kuwa "Wabongo mbona hawajui kuchekesha hawa.No set-up, no punchline, no haymakers, no improve dah smh. I will stick with Punchline TZ".

Wakazi amepokea comments tofauti baada ya kufunguka hilo huku wengi wakisema labda yeye ndio hawajui wachekeshaji na wengine wakiunga mkono alichokieleza.

Post a Comment

Previous Post Next Post