FAMILIA YA ALIYEFARIKI UWANJA WA MKAPA YAOMBA MSAADA

Familia marehemu William Ernest aliyefariki jana katika Uwanja wa Benjamin Mkapa alipokwenda kushuhudia mechi ya fainali ya kwanza ya Yanga dhidi ya USM Alger wanaomba msaada wa Serikali na Yanga ili kusafirisha mwili jijini Dodoma.

Akizungumza leo mtoto wa marehemu, Dora William amesema kwa sasa hali ya familia siyo nzuri hivyo wanaomba msaada ili wakampumzishe baba yao nyumbani kwao Mvumi Mission, Dodoma.


Post a Comment

Previous Post Next Post