WANACHAMA WA CHADEMA WALALAMIKA KUBAGULIWA.

Baadhi ya wanachama wa Chama cha Demokrasia na  Maendeleo CHADEMA huko katika jimbo la  Buchosa katika kijiji cha Kasisa,Mwanza Wamelalamika baadhi ya wahudumu wanaotoa huduma tofauti za kijamii kuwabagua pale wanapojua tu ni wanachama wa Chadema hayo yamezumgumzwa na wanachama hao katika muendelezo wa vikao vya chama hicho na wanachama wake.
Wanachama hao wamelalamika uwepo wa baadhi ya wanachama wa CCM wanaendesha mikutano yao katika maeneo ya utoaji wa huduma hali inayosababisha wao kukosa huduma za kijamii na hasa wanapo julikana wao ni wana chadema ndio kabisa wanaachwa bila kupewa huduma.

Post a Comment

Previous Post Next Post