Haaland amewajuza mawakala wake wanaomsimamia kwenye kazi zake klabu yoyote inayo muhitaji isiwe na kipengele cha muda mrefu isizidi miaka mitatu hajatoa sababu kwa nini kipengele hicho hakihitaji tena lakini kinacho onekena kwa Haaland kukataa mkataba mrefu ni kuhitajika kwake na baadhi ya vilabu vikubwa vyenye madau makubwa ndio sababu iliyomfanya amwambie Mini Raiola awaambie wanaomuhitaji yeye ni wa muda mfupi.Manchester City na Real Madrid wanapigana vikumbo kuitaka saini ya Haaland na wote wameka dau linalo fanana mpaka sasa Michael Zorch hajaweka wazi ni muda gani wataanza mazungumzo na timu zinazomuhitaji Haaland na wao hawajaweka dau husika la Haaland kuuzwa.
Tags
MICHEZO ⚽️