Real Madrid imesema mshambuliaji wake Vinicius Junior atakuwa nje ya uwanja kwa miezi miwili kutokana na majeraha.
Vini aliumia juzi akiwa na Brazil katika michezo ya kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya Colombia.
Kuumia kwa Vini kunaleta changamoto kwenye kikosi cha Madrid, baada ya Camavinga pia kuumia ambapo ripoti zinaeleza atarejea Januari.