• KITAIFA
  • KIMATAIFA
  • MAGAZETI
  • MICHEZO
  • ZILIZO SOMWA SANA
aboubacarwest.com
Home

MMLIKI WA SHEFFLIELD AOMBA MSAADA WA KULIPA MISHAHARA

byaboubacarwest.com -November 20, 2023
0

Mmiliki wa klabu ya Sheffield Wednesday inayoshiriki daraja la pili nchini Uingereza, Dejphon Chansiri amewaomba mashabiki wa klabu hiyo kuichangia klabu kiasi cha paundi milioni 2 kwa ajili ya kulipa mishahara ya wachezaji pamoja na kukidhi mahitaji mengine ya klabu.

Mmiliki huyo alisema kuwa "Ikiwa watu 20,000 watatoa kiasi cha paundi £100 basi itakuwa ni sawa na jumla ya paundi milioni 2, hivyo Kiasi hicho cha pesa kitatosha kugharamikia kila kitu".

  • Facebook
  • Twitter

Post a Comment

Previous Post Next Post

ZILIZOSOMWA SANA

MAGEUZI KATIKA ELIMU YANAKUJA:WAZIRI MKENDA

byaboubacarwest.com-October 10, 2022

FAMILIA YA ALIYEFARIKI UWANJA WA MKAPA YAOMBA MSAADA

May 29, 2023

MSISHUSHE HADHI YA DHAHABU:WAZIRI BITEKO

October 08, 2022

JULIET NA ROMEO WAISHTAKI PARAMOUNT

January 04, 2023
Design by Blogspot | Distributed by Gooyaabi Template

Contact Form