MASKINI GAVI NDO BASI TENA

 Kiungo wa FC Barcelona Gavi amepata majeraha ya goti kwenye mchezo wa kuwania kufuzu Euro 2024 dhidi ya Georgia, ambapo taarifa zinaeleza kuwa nyota huyo atakuwa nje ya uwanja kwa muda wa miezi 6 mpaka 8,

Hivyo kutokana na kuwa majeruhi kwa kipindi chote hicho, inatarajiwa kuwa msimu wote utamalizika akiwa bado nje ya uwanja na pia anatarajiwa kuikosa michuano ya Euro 2024.

Post a Comment

Previous Post Next Post