NESI AUWAWA NA MGONJWA MWENYE MATATIZO YA AKILI



June Onkundi Daktari aliyekuwa akifanya kazi ya kutoa huduma  katika kituo cha watu wenye matatizo ya akili huko nchini Marekani ameshambulia na mmoja ya wagonjwa aliyekuwa akimhudumia na kuuwawa.

June alisafiri kutoka kwao Kenya na kuelelekea nchini Marekani kwa ajili ya kutimiza ndoto yake ya kuwa daktari wa magonjwa ya binadamu"Ndugu yake June alisema.

Kaka yake amesema muda mwingine alikuwa akifanya hata kwa muda wa nyongeza ili kuwasaidia wagomjwa wengi zaidi.

Familia ya Muuguzi huyo imeitaka mamlaka ya eneo kilipo tokea kifo cha ndugu yao kuchukua sheria kwa kumfungulia mashtaka mgonjwa huyo aliyejulikana kwa jina la James Gomes aliyesababisha kifo cha ndugu yao.

Post a Comment

Previous Post Next Post