KANYE WEST ATOLEWA KWENYE TUZO ZA GRAMMY

Kanye west ametolewa kwenye orodha ya wasanii watakao perform katika tuzo za Grammy awards zitakazo fanyika mwezi ujao kwenye ukumbi wa Microsoft Center sababu ya Ye kutolewa kwenye tuzo hizo ni uwepo wa Trevoh Noah ambaye ndiye host/Mtangazaji na muongozaji wa tukio hilo.

Wiki chache zilizo pita Tevoh na Kanye waliingia kwenye majibizano katika mtandao wa Instagram yaliyo wafanya waingie katika mgogoro  hali iliyopelekea  Ye kutolewa katika orodha ya wasanii watakao perform katika tuzo za Grammy mwaka huu.
Aliye wasanua watu kuhusiana na mchongo wa Kanye kutolewa kwenye tuzo hizo ni rapa The game kupitia ukurasa wake wa Instagram alipo andika ujumbe mrefu uliokuwa ubeba ujumbe wa rapa Kanye na tukio la Grammy lakini ukiwa na maana na kuwaamsha watu weusi maarufu nchini Marekani kuungana na kupambania haki zao.
The game ambaye miezi mitatu iliyopita alipata shavu la kolabo na Kanye kwenye ngoma ya "MylifewasNeverEazy" amekuwa mstari wa mbele kutetea  watu weusi mbali na ukosaji anaoupitia hajaacha harakati zake.
Game anasema labda hata Kanye hajui kama kaondolewa kwenye tuzo hizo kutokana na ugomvi wake na Trevoh, Kanye alishawahi kuingia kwenye skendo na Grammy baada ya video iliyomuonyesha  akikojolewa tuzo ya Grammy aliyopata hizo ni miongoni mwa visababu vidogo vinavyo mfanya ashindwe kuhoji kwa nini ameondolewa kama Grammy wakikataa kumuondoa kwa kisa cha uwepo wa Trevoh Noah.


Post a Comment

Previous Post Next Post