AKIMBIA NA FEDHA ZA KANISA



Mlinzi wa Kanisa la Kangemi lililopo kaunti ndogo ya Dangoreti nchini Kenya anatuhumiwa kutoweka na fedha fedha za mchango wa waumini waumini wa Kanisa hilo  kiasi kinacho kadiria kufikia Milioni 28 za kitanzania zilitolewa Siku ya Jumapili katika ibada.

Mzee wa Kanisa hilo John Wainanina na mweka hazina wa kanisa hilo walipoenda kuchukua fedha Jumatatu asubuhi walikutwa milango ipo wazi jambo ambalo si la kawaida.

Wawili hao wahudumu katika Kanisa hilo wanasema walipotazama katika meza ambapo divai na mkate hutoa waliona meza imevunjwa na fedha hazipo wakatazama poa katika sehemu ya madhabahu hakuna fedha.

Ndipo walipo aanza kumdhania mlinzi wa Kanisa hilo George Mburu ambaye hakuwepo wakati wamewasili na ndiye anaye shtumiwa kukimbia na fedha hizo.

Post a Comment

Previous Post Next Post